Weka Pesa Pata Pesa: Mashairi yanayohusu kamari na mengineyo (Paperback)

Weka Pesa Pata Pesa: Mashairi yanayohusu kamari na mengineyo By Mniko Chacha Cover Image
$6.38
Available to SHIP now; STORE PICKUP in 7-10 days
This book cannot be returned. PRINT-ON-DEMAND; printing may add 2-4 business days.

Description


'Weka Pesa Pata Pesa, ' hivyo ndivyo wachezesha kamari wanavyowashawishi na kuwadanganya watu wanaopenda kubeti ili kupata Pesa za bwerere Vijana walio wengi pamoja na wazee wamejikuta kwenye uraibu wa kucheza kamari huku kila siku wakizidi kufilisika mali zao kutokana na michezo hiyo ya kubeti (kamari).

Ajabu kubwa ni pale unapowakuta vijana wanabeti au kucheza kamari tangu jua kuchomoza hata kuzama. Nani atalijenga taifa ikiwa nguvu kazi imezama kwenye uraibu wa kubeti? Pamoja na hayo, kitabu hiki pia kimesheheni mashairi mengine yanayohekimisha kuhusu maudhui tofauti tofauti. Karibu ujisomee kitabu hiki cha mashairi, ujihekimishe kupitia maneno kuntu yaliyotumika.

WASIFU WA MWANDISHI.
Mniko Chacha ni mwandishi wa vitabu vitano ambavyo ni Kiraka cha Ukombozi, Weka Pesa Pata Pesa, Songs of African Fathers, An Enemy of the Villagers, na Storms and Pleasures. Vitabu vyote hivi vinapatikana kwenye tovuti ya Amazon.

Mwaka huu, 2022 atachapisha riwaya yake mpya itakayojulikana kwa jina la 'Nitalipa Mahari na kuoa.'


Product Details
ISBN: 9798618392709
Publisher: Independently Published
Publication Date: February 26th, 2020
Pages: 44
Language: Afrikaans